January 24, 2022

Day

Picha ya pamoja ya wajumbe wa mkutano mkuu wa maradi wa GRILI Wito huo umetolewa na kiongozi wa mradi wa utafiti unaotekelezwa na Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) wa kuongeza ubunifu katika mimea dawa ili kuboresha Maisha (GRILI) Dkt. Faith Mabiki wakati wa mkutano mkuu wa mwaka wa wadau wa mradi huo uliofanyika...
Read More