January 27, 2022

Day

Wananchi kote nchini wameshauriwa kutotumia dawa za tiba asili bila ya kupata ushauri kutoka kwa wataalamu ili kutumia kwa kiwango kilichotafitiwa (dozi) cha mimea tiba wanayoitumia kwa ajili ya kutibu afya zao kwakuwa kiwango kingi ama kidogo, vyote vinaweza kuleta madhara katika mwili wa binadamu. Mtafiti Mwanafunzi wa shahada ya uzamivu kutoka Chuo Kikuu cha...
Read More