August 7, 2023

Day

Idara ya kemia na fizikia yashiriki katika maonesho ya Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya Nanenane-Morogoro, ambapo miongoni mwa bidhaa ambazo zinazalishwa na idara ili kuhudumia jamii, bidhaa hizi ni pamoja na;- Sabuni za Syna soap, kwa ajili ya matitabu ya magonjwa ya ngozi yatokanayo na fangasi. Dawa ya kimiminika ya kunywa (Synadol syrup), kwa ajiri...
Read More