Maonesho ya Nanenane 01-08 August 2023, Viwanja vya Nanenane-Morogoro

Idara ya kemia na fizikia yashiriki katika maonesho ya Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya Nanenane-Morogoro, ambapo miongoni mwa bidhaa ambazo zinazalishwa na idara ili kuhudumia jamii, bidhaa hizi ni pamoja na;-

  1. Sabuni za Syna soap, kwa ajili ya matitabu ya magonjwa ya ngozi yatokanayo na fangasi.
  2. Dawa ya kimiminika ya kunywa (Synadol syrup), kwa ajiri ya matibabu ya mafua, vikohozi na matezi vitokanavyo na bakteria pamoja na virusi.
  3. Bidhaa za Usafi (Cleansing products), kwa mfano sabuni za maji kwa ajili ya kunawia mikono, sabuni za kusafishia masinki ya vyoo pamoja, vitakasa mikono (sanitizers) pamoja dawa za kuulia wadudu (Disinfectant).

Matukio katika picha toka katika maonesho ya Nanenane Morogoro.

Related Posts