SUA yajivunia matokeo ya Utafiti wa Mradi wa GRILI katika kuboresha Tiba asili nchini.

Akizungumza malengo na mafanikio ya Utafiti Mkuu wa Mradi huo Prof. Faith Mabiki amesema mradi ulijikita katika kushughulika na bidhaa zitokanazo na mimea dawa kwa maana ya tiba asili na mnyororo mzima wa thamani ili kusaidia Tanzania kunufaika na utajiri mkubwa ilionao wa maliasili hususani mimea dawa  kwa kufikia soko la Dunia.

Kwa taarifa zaidi soma

http://suamedia1994.blogspot.com/2023/02/sua-yajivunia-matokeo-ya-utafiti-wa.html?m=1

 

Related Posts