August 16, 2023

Day

Watumishi wa SUA wamehimizwa kushirikiana katika utekelezaji wa majukumu na utendaji kazi ili kuongeza ufanisi wa utoaji wa huduma kwa wanafunzi na wanajumuiya wa Chuo Wito huo umetolewa na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Prof. Raphael Chibunda wakati akiongea na watumishi wa Chuo, Kampasi ya Solomon Mahlangu akiwa katika ziara ya...
Read More