Blog

MSc. ORAL DEFENCE

https://zoom.us/j/98696419541?pwd=cmMrYldUcXZ2MjZrVCtsa0lvR0JnUT09      

PHD RESULTS SEMINAR PRESENTATIONS

PHD RESULTS SEMINAR PRESENTATIONS DATE: 09TH SEPTEMBER 2022                              TIME: 0900 HOURS TITLE: ISOLATION AND CYTOTOXICITY EVALUATION OF LONG CHAIN COMPOUNDS FROM COMMIPHORA SWYNNERTONII (BURTT)                            PRESENTER: DAVID CREDO TITLE: ISOLATION AND TOXICITY EVALUATION OF FERULOYL ESTER AND OTHER TRITERPENOIDS FROM SYNADENIUM […]

Kongamano la Tiba Asili SUA

Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kwa kushirikiana na Wizara ya Afya kimeahidi kufanya kazi bega kwa bega na wadau mbalimbali waliopo katika Mnyororo wa Thamani wa Bidhaa za Tiba Asili kwaajili ya kuibua Bunifu na kupata suluhisho la Kisayansi kuhusu changamoto zilizopo kwenye mnyororo wa thamani wa biashara ya bidhaa za Mimea Dawa […]

CALL FOR ABSTRACT SUBMISSION FOR AFRICAN TRADITIONAL MEDICINE DAY SCIENTIFIC CONFERENCE

African Traditional Medicine day was first commemorated in 31st August, 2003 following the adoption of World Health Organization resolution of 2002 on Promoting the role of Traditional medicine in health systems. The aim of this important day is to promote the important role of the African Traditional medicine in improving the health of Africans. It […]

Chief Government Chemist office and SUA partners to help traditional healers improve their products

On Thursday, March 3, 2022, at Solomon Mahlangu campus in Mazimbu, Morogoro, Sokoine University of Agriculture (SUA) through the Valorization of potentials of Synadenium glaucescens (SG) Phytochemicals for Management of Important Human and Animal diseases (VaSPHARD) project in collaboration with the Office of the Chief Government Chemist organized a special training for traditional healers from across the […]

Wananchi washauriwa kutotumia dawa za tiba asili bila ushauri wa wataalamu

Wananchi kote nchini wameshauriwa kutotumia dawa za tiba asili bila ya kupata ushauri kutoka kwa wataalamu ili kutumia kwa kiwango kilichotafitiwa (dozi) cha mimea tiba wanayoitumia kwa ajili ya kutibu afya zao kwakuwa kiwango kingi ama kidogo, vyote vinaweza kuleta madhara katika mwili wa binadamu. Mtafiti Mwanafunzi wa shahada ya uzamivu kutoka Chuo Kikuu cha […]

Waganga wa tiba asili waaswa kutochanganya dawa za asili na za kisasa

Picha ya pamoja ya wajumbe wa mkutano mkuu wa maradi wa GRILI Wito huo umetolewa na kiongozi wa mradi wa utafiti unaotekelezwa na Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) wa kuongeza ubunifu katika mimea dawa ili kuboresha Maisha (GRILI) Dkt. Faith Mabiki wakati wa mkutano mkuu wa mwaka wa wadau wa mradi huo uliofanyika […]

DSC 0312

The department of Chemistry and Physics holds annual meeting

The staffs of the department of Chemistry and Physics and students representatives The department of Chemistry and Physics conducted the annual meeting to evaluate its plans for the academic year 2020/2021. This is usually the meeting held purposely to evaluate the plans and performance in various academic aspects and presentation of the new stragegies for […]