Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Kutembelea SUA Kampasi ya Solomon Mahlangu

Naibu Waziri wa Sanaa na Michezo Mh. Pauline Gekul atatembelea Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo tarehe 18 Januari 2023 kuanzia saa 4 mpaka saa 6 mchana. Katika ziara yake, Mh. Gekul atajionea maeneo ya urithi kwenye harakati za ukombozi wa bara la Afrika yaliyopo hapa mkoa wa Morogoro, ikiwemo kampasi ya Solomon Mahlangu.

ZIARA YA NAIBU WAZIRI..