January 17, 2023

Day

Naibu Waziri wa Sanaa na Michezo Mh. Pauline Gekul atatembelea Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo tarehe 18 Januari 2023 kuanzia saa 4 mpaka saa 6 mchana. Katika ziara yake, Mh. Gekul atajionea maeneo ya urithi kwenye harakati za ukombozi wa bara la Afrika yaliyopo hapa mkoa wa Morogoro, ikiwemo kampasi ya Solomon Mahlangu.
Read More