The Department of Geography and Environmental Studies (DGES) in the College of Natural and Applied Sciences warmly invites you to attend PhD and Master’s seminar presentations scheduled for Thursday, April 6th, 2023 at the Meteorological Laboratory located at Solomon Mahlangu Campus. The presentation will begin promptly at 10:00 AM. For more information, please refer to...Read More
Siku ya ijumaa tarehe 3 Feb 2023, wafanyakazi wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) kampasi ya Solomon Mahlangu (SMC), iliyopo Mazimbu Morogoro, walikutana kwenye sherehe ya kuuaga mwaka 2022 na kuukaribisha mwaka 2023. Lengo la hafla hii ni kuleta watumishi wa SMC pamoja kufurahi katika kula, kunywa na burudani zingine ili kuuaga mwaka...Read More