February 5, 2023

Day

Siku ya ijumaa tarehe 3 Feb 2023, wafanyakazi wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) kampasi ya Solomon Mahlangu (SMC), iliyopo Mazimbu Morogoro, walikutana kwenye sherehe ya kuuaga mwaka 2022 na kuukaribisha mwaka 2023. Lengo la hafla hii ni kuleta watumishi  wa SMC pamoja kufurahi katika kula, kunywa na burudani zingine ili kuuaga mwaka...
Read More